Karibu katika somo la kwanza ujifunze ni jinsi gani unaweza kununua bidhaa kutoka mataifa makubwa duniani kwa kutumia mitandao mikubwa kama vile Aliexpress.com, alibaba.com, amazon.com ,shopify.com, ebay.com
Faida za kununua bidhaa mtandaoni
BEI NAFUU
Bidhaa nyingi zinazouzwa mtandaoni zina punguzo kubwa la bei, hii ni kutokana na ukweli kwamba wauzaji wa bidhaa ndio wamiliki.
Bidhaa nyingi zinazouzwa mtandaoni zina punguzo kubwa la bei, hii ni kutokana na ukweli kwamba wauzaji wa bidhaa ndio wamiliki.
NJIA BORA YA KUCHAGUA BIDHAA MTANDAONI
Ingia katika mtandao wowote ambao unapenda kununua bidhaa mfano ebay.com, shopify.com au aliexpress.com kisha katika sehemu ya ku search andika jina la bidhaa unayohitaji kununua.
Mambo ya kuzingatia unapofanya manunuzi mtandaoni
1. Hakikisha kadi yako imewezeshwa kufanya malipo kutoka benki husika
Hatua ya kwanza na ya muhimu ni kujua kama kadi (mastercard) yako imezeshwa kufanya malipo mtandaoni.
Njia bora ya kupokea bidhaa uagizapo mtandaoni
Mara nyingi watu wengi hujiuliza ni kwa njia gani naweza kupokea mzigo wangu niagizapo mtandaoni?
kwa hapa Tanzania njia rahisi kabisa kupokea mzigo wako yenye gharama nafuu ni kwa
List ya kampuni zinazoongoza kwa kuuza na kununua mtandaoni duniani (e-Commerce)
Ifuatayo ni orodha kampuni bora za kufanya manunuzi kwa njia ya mtandaoni
Subscribe to:
Posts (Atom)
Featured Post
Jifunze kununua mtandaoni
Karibu katika somo la kwanza ujifunze ni jinsi gani unaweza kununua bidhaa kutoka mataifa makubwa duniani kwa kutumia mitandao mikubwa ka...