List ya kampuni zinazoongoza kwa kuuza na kununua mtandaoni duniani (e-Commerce)

Ifuatayo ni orodha kampuni bora za kufanya manunuzi kwa njia ya mtandaoni

Katika karne tuliyopo ya sayansi na teknolojia ni ukweli usiofichika kwamba kuna mamilioni ya makampuni yanayouza bidhaa mtandaoni.

Baadhi ya makampuni yamekuwa yakifanya vizuri lakini baadhi ya makampuni hayafanyi vizuri katika biashara ya mtandaoni. 

Kwa kulifahamu hilo, tumeamua kuorodhesha makampuni ambayo yanaaminika zaidi duniani kwa kusambaza bidhaa kwa njia ya mtandao (yaani intaneti), ili kukurahisishia manunuzi yako kwa njia mtandao.


2. Aliexpress.com
 

3. Amazon.com
 eBay.com
 Flipkart.com
 Groupon.com

 Shopify.com

 Rakuten.com
 Walmart.com

Featured Post

Jifunze kununua mtandaoni

Karibu katika somo la kwanza ujifunze ni jinsi  gani unaweza kununua bidhaa kutoka mataifa makubwa duniani kwa kutumia mitandao mikubwa ka...